UHURU FM
 • RC Makonda akabidhiwa Mwenge wa Uhuru ukitokea mkoani Lindi.

  MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda Leo Me 27, 2017 amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi katika dhifa ya makabidhiano iliyofanyika katika eneo la Kongowe Shule ya Msingi Kongowe/Mzinga kata ya Tuangoma na kuukabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke tayari kwa kumulika miradi ya Maendeleo.

 • Rais Shein awataka wafanyabiashara kutopandisha bei vitu mwezi wa Ramadhan.

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dokta Ali Mohamed Shein, amewataka Wafanyabiashara kuwa Waadilifu katika kufanya biashara zao katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi yao kupandisha bei za bidhaa kila ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 • Wahudumu wa hospitali ya Mwananyamala mbaroni kwa kupakua dawa za kulevya.

  POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inawashikilia watu wanne wakiwemo wahudumu wawili wa chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Mwananyamala kwa kosa la kupasua maiti na kuiba dawa za kulevya kisha kwenda kuziuza.

 • Serikali za Tanzania na Uganda zatiliana saini mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta.

  SERIKALI za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania lenye urefu wa Kilometa 1,443, uliokadiriwa kugharimu zaidi ya Dola bilioni 3 nukta 55, mjini Kampala Uganda, leo.

 • Everton kuja Tanzania.

  KLABU ya Everton inatarajiwa kuwa klabu ya kwanza inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kucheza Tanzania wakati watakapokuja kwa ajili ya mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya.

TOP 15 YA UHURUFM
01Moyo Sukuma Damu - Lameck Ditto
02Phone - Ben Pol
03Waya - Joh Makini
04Mazoea - Bill Nass ft Mwana FA
05Marry You - Diamond Platinumz ft Ne-Yo
06Hela - Madee
07Dume Suruali - Mwana FA ft Vanessa Mdee
08Give it to me - Belle 9 ft Gnako
09Kila Wakati - Godzilla ft Gnako
10Muziki - Darasa ft Ben Pol
11Mkimbie - Hemed PHD
12Hakijaeleweka - Matonya
13Yono - Dully Sykes
14Umeniweza - Izzo Biznes & Bella Music
15Cash Madame - Vanessa Mdee
RECENTS
May 26, 2017
MICHEZO
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji, amejiuzulu wadhifa huo akidai kuwa anatoa nafasi kwa watu wengine kuiongoza.
May 23, 2017
Read More
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ataja kikosi cha wachezaji 24 watakaoweka kambi kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika 2019, dhidi ya Lesotho Juni 10 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
May 19, 2017
Read More
HABARI ZA JUU
KITAIFA
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda Leo Me 27, 2017 amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi katika dhifa ya makabidhiano iliyofanyika katika eneo la Kongowe Shule ya Msingi Kongowe/Mzinga kata ya Tuangoma na kuukabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke tayari kwa kumulika miradi ya Maendeleo.
May 27, 2017
Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dokta Ali Mohamed Shein, amewataka Wafanyabiashara kuwa Waadilifu katika kufanya biashara zao katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi yao kupandisha bei za bidhaa kila ifikapo mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
May 26, 2017
Read More
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inawashikilia watu wanne wakiwemo wahudumu wawili wa chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Mwananyamala kwa kosa la kupasua maiti na kuiba dawa za kulevya kisha kwenda kuziuza.
May 26, 2017
Read More
SERIKALI za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania lenye urefu wa Kilometa 1,443, uliokadiriwa kugharimu zaidi ya Dola bilioni 3 nukta 55, mjini Kampala Uganda, leo.
May 26, 2017
Read More
HABARI MPYA
May 27, 2017
May 27, 2017
May 27, 2017
May 26, 2017
May 26, 2017
May 26, 2017
May 26, 2017
May 26, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  198