UHURU FM
HABARI ZA JUU
AFRIKA
Raia wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la kuapishwa kwa Rais wao George Opong Weah,ambapo wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa,mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo inajiandika upya kutoka kung'ara katika soka na hatimaye kuingia katika uga wa siasa kuwa rais wa taifa hilo lenye historia ya milima na mabonde kisiasa.
January 21, 2018
Read More
WAZIRI wa afya nchini Kenya Dkt Cleopha Mailu ameamrisha uchunguzi kufanywa katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta baada ya wanawake waliojifungua kudai kwamba wanadhalilishwa kingono.
January 19, 2018
Read More
Watu 20 wameuawa kufuatia mapigano yaliyotokea kati ya makundi ya wanamgambo hasimu katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
January 16, 2018
Read More
Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ya Afrika Kusini leo inakutana na ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Marekani mjini Pretoria kuhusiana na kauli ya matusi aliyotoa Rais Donald Trump kuhusu nchi za Afrika.
January 15, 2018
Read More
HABARI ZA AFRIKA
January 21, 2018
January 19, 2018
January 16, 2018
January 15, 2018
2 3 4 5    Next     Page  1  of  70