UHURU FM
HABARI ZA JUU
MICHEZO
KESI inayowakabili viongozi wa klabu ya Simba, rais Evans Aveva na makamu wake Geofrey Nyange ‘Kaburu’ imeahirishwa tena mpaka Julai 31 mwaka huu itakapotajwa tena.
July 20, 2017
Read More
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza mabadiliko kidogo katika mipango yake ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi Rwanda unaotarajiwa kufanyika Jumamosi hii.
July 18, 2017
Read More
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini-TFF, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Selestine Mwesigwa wamerudishwa rumande hadi Julai 31 mwaka huu kesi yao itakapotajwa tena, kwasababu upelelezi haujakamilika.
July 17, 2017
Read More
KIKOSI kamili cha wachezaji 25 wa klabu ya Everton kimetua rasmi asubuhi hii jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya timu ya Gor Mahia ya Kenya.
July 12, 2017
Read More
HABARI ZA MICHEZO
July 20, 2017
July 18, 2017
July 17, 2017
July 12, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  58