UHURU FM
HABARI ZA JUU
AFRIKA
Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa-UNHCR lilisema Jumanne kwamba wafadhili wake watazuia msaada wa fedha kwa operesheni za Uganda hadi idadi ya wakimbizi ithibitishwe baada ya shutuma kwamba maafisa waliongeza idadi ya halali ya wakimbizi ili waibe fedha za ziada.
February 21, 2018
Read More
Kundi la Boko Haram linaendelea na mashambulizi yake nchini Nigeria na katika nchi jirani. Kiongozi wa kundi hilo Abubakar Shekau ameapa kuendelea na mapambano yao ambayo ameyataja kuwa ya kitakatifu kwa Waislam.
February 20, 2018
Read More
Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai amefariki Dunia nchini Afrika Kusini.
February 15, 2018
Read More
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma hatimaye ameamua kujiuzulu , baada ya kushinikizwa na chama chake, kinachotawala nchini humo cha African National Congress, ANC, kufuatia miaka 9 ya kukabiliwa na kashfa za rushwa, kuporomoka kwa uchumi na kushuka kwa umaarufu.
February 15, 2018
Read More
HABARI ZA AFRIKA
February 06, 2018
January 30, 2018
January 29, 2018
January 29, 2018
Previous  1 3 4 5 6    Next     Page  2  of  73