UHURU FM
HABARI ZA JUU
AFRIKA
NYOTA wa zamani wa soka George Weah na makamu wa rais Joseph Boake, wanaelekea duru ya pili ya uchaguzi kwenye uchaguzi wa rais nchini Liberia.
October 16, 2017
Read More
RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha mswada wa bajeti ndogo ambao umetenga Kshs 12 bilioni (Dola 120 milioni) za kutumiwa na Tume ya Uchagizi katika uchaguzi mkuu mpya tarehe 26 Oktoba.
October 13, 2017
Read More
NDEGE moja ya kampuni ya ndege ya Uturuki Turkish Airlines iliokuwa ikibeba abiria 121 na wafanyikazi sita ilitua kwa dharura nchini Kenya siku ya Ijumaa alfajiri baada ya mojawapo ya injini zake kuingiwa na ndege, kulingana na polisi.
October 13, 2017
Read More
SERIKALI nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.
October 12, 2017
Read More
HABARI ZA AFRIKA
September 27, 2017
September 26, 2017
September 25, 2017
September 21, 2017
Previous  1 2 3 5 6 7 8    Next     Page  4  of  56