UHURU FM
HABARI ZA JUU
AFRIKA
KWA mara ya kwanza sherehe za maadhimisho ya tarehe 12 Disemba, siku kuu ambayo Kenya ilijipatia uhuru, zitafanyika katika uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi Kasarani, Jumanne Disemba 12 mwaka huu wa 2017.
December 12, 2017
Read More
MUUNGANO mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA, umetangaza kuahirishwa kwa shughuli ya kumuapisha kinara mkuu wa muungano huo Raila Odinga na Stephen Kalonzo Musyoka, kama rais na makamu wa rais mtawalia wa Jamhuri ya Kenya.
December 11, 2017
Read More
MAHAKAMA kuu ya Liberia imesema kuwa ushahidi wa vitendo visivyokubalika katika uchaguzi wa Rais duru ya kwanza mwezi Oktoba hautoshi kuufanya uchaguzi kurudiwa.
December 08, 2017
Read More
MWANASHERIA mkuu wa Kenya Prof Githu Muigai amesema jaribio lolote la kumuapisha kiongozi mwingine wa Kenya litakuwa ni uhaini wa hali ya juu.
December 07, 2017
Read More
HABARI ZA AFRIKA
November 10, 2017
November 07, 2017
November 06, 2017
November 03, 2017
Previous  1 2 3 4 6 7 8 9    Next     Page  5  of  64