UHURU FM
HABARI ZA JUU
AFRIKA
MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imeamuru mgombea urais wa chama cha Thirdway Alliance Ekuru Aukot aliyekuwa ameshiriki uchaguzi mkuu tarehe 8 Agosti ashirikishwe kwenye uchaguzi mkuu mpya unaopangiwa kufanyika tarehe 26 Oktoba.
October 11, 2017
Read More
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.
October 10, 2017
Read More
WATU nchini Liberia wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa Rais barani Afrika na mshidi wa tuzo la amani la Nobel, Ellen Johnson Sirleaf.
October 10, 2017
Read More
MMOJA wa wagombea katika uchaguzi wa urais nchini Liberia na nyota wa soka George Weah amekiri kuwa na mawasiliano na kiongozi wa zamani wa taifa hilo Charles Taylor.
October 06, 2017
Read More
HABARI ZA AFRIKA
October 16, 2017
October 13, 2017
October 13, 2017
October 12, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  56