UHURU FM
HABARI ZA JUU
BIASHARA
MAKAMPUNI ya bima nchini yametakiwa kusogeza hudama za bima ya Maisha kwa wanananchi ili kuchangia ukuajia wa uchumi wa nchi hususan katika kipindi hiki cha uchumi wa viwanda. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Ashatu Kijaji alipokuwa akifungua semina ya kimataifa ya Bima ya Maisha inayofanyika jijini Arusha.
November 03, 2017
Read More
KIONGOZI wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametembelea kiwanda ya bidhaa za urembo mjini Pyongyan akiandamana na mke wake Ri Sol-ju na dada yake Kim Yo-jing.
October 30, 2017
Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Frolens Dominic Andrew Makinyika Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
October 23, 2017
Read More
WIZARA ya Madini kwa mara ya Kwanza itafanya Mnada wa Madini ya Tanzanite kutoka katika Kampuni Nne za Uchimbaji na Biashara ya Madini katika eneo la Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mnada ambao utafanyika Jumapili ijayo.
October 13, 2017
Read More
HABARI ZA BIASHARA
November 17, 2017
November 14, 2017
November 13, 2017
November 10, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  25