UHURU FM
HABARI ZA JUU
KITAIFA
WADAU wa Utalii Jijini Arusha wamempongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dokta Hamisi Kigwangalla kwa kukubali kuyafanyia kazi mapendekezo yao ya kuwaingiza Wajasiriamali wadogo katika utoaji wa huduma za kusafirisha Watalii nchini.
December 11, 2017
Read More
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) ya nchini Israel zimewapeleka watoto sita (6) wenye umri wa mwaka mmoja hadi miaka kumi na tatu nchini Israel kwa ajili ya matibabu ya moyo.
December 11, 2017
Read More
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Magufuli, amesema Chama kinakusanya taatifa ili kujiridhisha kama kuna wananchama wameshinda kwa kutoa rushwa na ikubainika ushindi wao utafutwa, kwani Chama hakitaki kupata viongozi walioingia kwa rushwa.
December 08, 2017
Read More
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ofisi ya Umoja wa Mataifa na kusema uamuzi huo ni hatua muhimu ya kuendeleza mchakato wa Serikali wa kuhamia Dodoma. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamsi, Desemba 7, 2017) wakati akizungumza na viongozi na watumishi wa taasisi za Umoja wa Mataifa waliohudhuria hafla ya ufunguzi rasmi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa Dodoma, katika eneo la Mlimwa, Manispaa ya Dodoma.
December 07, 2017
Read More
HABARI ZA KITAIFA
December 12, 2017
December 12, 2017
December 12, 2017
December 11, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  310