UHURU FM
HABARI ZA JUU
AFRIKA
SUDAN imekata uhusiano wake na Korea Kaskazini ili kuafikia masharti ya Marekani ya kuondolewa kwa vikwazo, kulingana na gazeti la Uingereza la Financial Times.
October 05, 2017
Read More
CHUO Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana kwa sababu ya kile ambacho viongozi wa chuo hicho wamesema ni haja "kudorora kwa usalama" chuoni humo.
October 03, 2017
Read More
RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na pande zote baada ya polisi kuwapiga risasi na kuwauwa watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi hiyo wanaozuungumza kiingereza wanaotaka kujitenga kuwa na eneo lao.
October 02, 2017
Read More
SHIRIKA la kimataifa linalotetea haki za binadamu la Amnesty International limeonya kuwa Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaorudi nchini kwao kutoka Tanzania wanakabiliwa na hatari za kiusalama nchini mwao.
September 29, 2017
Read More
HABARI ZA AFRIKA
October 16, 2017
October 13, 2017
October 13, 2017
October 12, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  56