UHURU FM
HABARI ZA JUU
BIASHARA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/2018. Katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba 2017, TRA imekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65.
October 10, 2017
Read More
HISA za Maendeleo Bank zimeendelea kufanya vizuri sokoni tangu kuzinduliwa kwa mauzo ya hisa hizo rasmi Septemba 18, tukio ambalo lilifanywa na Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dk. Philip Mpango.
October 05, 2017
Read More
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amewataka Wavuvi Mkoani Kagera kuachana na Uvuvi Haramu kwani siku zao zinahesabika.
October 03, 2017
Read More
ALMASI yenye haijakatwa ya ukubwa wa mpira wa tenisi, iliyopatikana kwenye mgodi wa Korowe nchini Botswana mwezi Novemba mwaka 2015, imeuzwa na kampuni yenye makao yake nchini Canada ya Lucara Diamond kwa kima cha dola milioni 53
September 26, 2017
Read More
HABARI ZA BIASHARA
November 17, 2017
November 14, 2017
November 13, 2017
November 10, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  25