UHURU FM
HABARI ZA JUU
KIMATAIFA
WAENDESHA mashtaka mjini New York wamefungua mashtaka dhidi ya mhamiaji kutoka nchini Uzbek anayedaiwa kuhusika katika shambulio la gari dogo la mizigo lilitokea jana na kuua watu nane katika mji wa New York nchini Marekani.
November 02, 2017
Read More
MEYA wa mji wa New York, Bill De Blasio, amearifu kwamba watu 8 wamefariki dunia na zaidi ya 12 wamejeruhiwa na gari iliyowagonga waendesha baiskeli mjini humo.
November 01, 2017
Read More
MMOJA wa watoto pacha ambao walizaliwa wakiwa wameshikana kwenye vichwa amefungua macho yake siku nne baada ya upasuaji wa kuwatenganisha nchini India.
October 30, 2017
Read More
WACHUNGUZI wa Umoja wa mataifa wanaituhumu serikali ya rais Bashar al Assad wa Syria kuhusika na mashambulio ya gesi ya sumu ya sarin dhidi ya raia.
October 27, 2017
Read More
HABARI ZA KIMATAIFA
November 17, 2017
November 15, 2017
November 13, 2017
November 10, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  84