UHURU FM
HABARI ZA JUU
KITAIFA
Serikali imesema imekamilisha uhakiki wa madai ya Watumishi wa Umma na kwamba kiasi cha shilingi Bilioni-43.39 ambacho ni madai halali kitalipwa kwa mkupuo pamoja na mshahara wa mwezi Februari mwaka huu.
February 09, 2018
Read More
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesema katika kipindi cha Mwezi Januari hadi Disemba mwaka jana, jumla ya Askari Polisi Mia Moja na Tano waliotenda makosa mbalimbali, walichukuliwa hatua za kinidhamu ikiwemo kufukuzwa kazi.
February 09, 2018
Read More
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dokta MWIGULU NCHEMBA, ameliagiza Jeshi la Polisi Nchini kuziachia mara moja Pikipiki wanazozishikilia kwa muda mrefu na zina makosa madogo, na wasikae nazo mpaka zikawa Vyuma Chakavu.
February 09, 2018
Read More
Mkuu wa Mkoa wa Geita, ROBERT GABRIEL, amewataka wananchi wa Mkoa huo kutoa ushirikiano kwa wataalamu wanaopita kila Kaya kufanya utafiti na tathmini ya Uzazi, Unyonyeshaji, Afya, Uraia, Ulemavu, mapato na matumizi ya Kaya.
February 07, 2018
Read More
HABARI ZA KITAIFA
February 21, 2018
February 21, 2018
February 21, 2018
February 21, 2018
2 3 4 5    Next     Page  1  of  335