UHURU FM
HABARI ZA JUU
MICHEZO
KAMATI ya nidhamu iliyokutana Januari 1, 2018 ilipitia ripoti mbalimbali za mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Novemba 2, 2017 na ule kati ya Azam Fc na Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Chamazi Oktoba 27, 2017.
January 04, 2018
Read More
KIKAO cha kamati ya Mashindano kilichokutana Desemba 29, 2017 kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kujadili mchezo namba 31 na 32 uliohusisha timu za Abajalo FC dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya na ule kati ya Mvuvumwa na JKT Ruvu katika Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) iliyokuwa ifanyike Desemba 20, 2017 kwenye Uwanja wa Uhuru na Chamazi.
January 04, 2018
Read More
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kumpongeza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe kwa ufuatiliaji wake wa karibu wa michezo ikiwemo Mpira wa Miguu.
January 03, 2018
Read More
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Chelsea, Manchester City na AC Milan, George Weah amechaguliwa kuwa rais mteule wa Liberia.
December 29, 2017
Read More
HABARI ZA MICHEZO
January 24, 2018
January 24, 2018
January 19, 2018
January 16, 2018
2 3 4 5    Next     Page  1  of  74