UHURU FM
HABARI ZA JUU
KITAIFA
Licha ya Serikali kueleza kutotambua idadi kamili ya wagonjwa wa Akili nchi nzima, inakadiriwa kuwa wagonjwa wa Akili ni Asilimia moja ya idadi ya Watanzania, takribani Milioni-50.
February 07, 2018
Read More
Rais JOHN MAGUFULI, amesema Serikali haiwezi kurudia kuwalipa watu ambao tayari walishalipwa fidia na hawezi kuwatetea watu ambao wamevunja sheria kwa kuvamia maeneo yasiyokuwa yao.
February 07, 2018
Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Februari, 2018 amezindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi (Comprehensive Training Center – CTC) kilichopo Mapinga katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
February 06, 2018
Read More
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa PALAMAGAMBA KABUDI, amefafanua kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana Mamlaka yote kisheria kutoa maagizo kwa mambo yote yanayohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama nchi Huru.
February 06, 2018
Read More
HABARI ZA KITAIFA
February 21, 2018
February 21, 2018
February 21, 2018
February 21, 2018
2 3 4 5    Next     Page  1  of  335