UHURU FM
HABARI ZA JUU
KITAIFA
SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, imesema itapeleka Hati ya Dharula Bungeni ili itungwe sheria itakayofuta dhamana ya mtuhumiwa atakayempa ujauzito Mwanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari.
November 29, 2017
Read More
SHIRIKA la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) limesema liko tayari kushirikiana na Serikali kujenga miundombinu ya kisasa ya usafiri, Nishati ya umeme, maji na usafi wa mazingira katika Makao Makuu ya nchi, Dodoma. Ahadi hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa Shirika hilo Bw. Hiroshi Kato wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Jijini Dar es Salaam.
November 27, 2017
Read More
ZABUNI ya Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha Umeme kiasi cha MW 2100 kwa kutumia maporomoko ya maji katika Mto Rufiji (Stiegler's Gorge) imefunguliwa leo tarehe 27/11/2017 ambapo Kampuni 81 zilijitokeza kununua nyaraka za Zabuni hizo na kampuni Nne ndizo zilizorudisha nyaraka za zabuni husika.
November 27, 2017
Read More
TUME ya Taifa ya Uchaguzi-NEC, imesema haitarudia Uchaguzi wa Madiwani katika Kata 5 za Halmashauri ya Meru Mkoani Arusha, kwa kuwa uchaguzi uliofanyika jana katika Kata hizo ulikuwa wa Huru na Haki.
November 27, 2017
Read More
HABARI ZA KITAIFA
December 12, 2017
December 12, 2017
December 12, 2017
December 11, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  310