UHURU FM
HABARI ZA JUU
MICHEZO
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amewateua Makamu wa Rais wa zamani wa TFF, Athuman Nyamlani na Ahmed Mgoyi kuwa Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF.
August 23, 2017
Read More
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imepitisha jina la Kidao Wilfred kuwa Kaimu Katibu Mkuu.
August 23, 2017
Read More
KAMATI ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, iliyokutana kwa siku mbili mfululizo Agosti 20 na 21, 2017, jijini Dar es Salaam, imepitia usajili wa majina ya klabu 40.
August 23, 2017
Read More
KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao wa 2018/19 kutoka 16 za sasa hadi 20, imefahamika.
August 23, 2017
Read More
HABARI ZA MICHEZO
October 11, 2017
October 10, 2017
October 09, 2017
October 09, 2017
2 3 4 5    Next     Page  1  of  66